close
Nenda kwa yaliyomo

Carl Weathers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carl Weathers, mnamo 2015.
Autograph Carl Weathers mwigizaji wa Marekani
Autograph Carl Weathers mwigizaji wa Marekani

Carl Weathers (amezaliwa New Orleans, Louisiana, 14 Januari 1948) ni mwigizaji wa filamu na ni mchezaji mpira wa miguu wa zamani wa Marekani-Kanada. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa jina la Apollo Creed alilotumia katika mfululizo wa filamu ya The Rocky aliyocheza na nyota maarufu wa filamu Sylvester Stallone.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Weathers alipata elimu yake katika shule ya St. Augustine High School na baada ya hapo alielekea katika Chuo Kikuu cha San Diego.

Nje ya masuala ya uigizaji, Weathers vilevile ni mwanachama wa Big Brothers na ni mmoja wa wanakamati ya Olympic ya Marekani. Mnamo mwezi wa Aprili ya mwaka wa 2007, Carl amemwoa Jennifer Peterson, mwandaaji wa maandishi.

Filamu alizoigiza

[hariri | hariri chanzo]
MwakaJina la filamuJina alilotumiaMaelezo
2008Phoo ActionPolice Chief Benjamin 'Ben' BensonTV series
2007The ComebacksFreddie Wiseman/Narrator
2006The Sasquatch Dumpling GangDr. Artimus Snodgrass
Spawn: The AnimationCaptain EdwardsTathilia ya TV, ametia sauti tu
2005Alien SiegeGeneral Skyler
2004 - 2005Arrested DevelopmentCarl WeathersTamthilia ya TV
2002Eight Crazy NightsGNC Guyametia sauti tu
2000Little NickyChubbs Peterson
1996Happy GilmoreChubbs Peterson
1993-1994In the Heat of the NightChief Hampton ForbesTV series
1992Hurricane SmithBilly 'Hurricane' Smith
1991-1993Street JusticeSgt. Adam BeaudreauxTV series
1989-1990Tour Of DutyCol. BrewsterTV series
1988Action JacksonSgt./Lt. Jericho "Action" Jackson
1987PredatorMajor George Dillon
1986Fortune DaneFortune DaneTV series
1985Rocky IVApollo Creed
1982Rocky IIIApollo Creed
1981Death HuntSundog/George Washington Lincoln Brown
1979Rocky IIApollo Creed
1978Force 10 from NavaroneSgt. Weaver
1977Semi-ToughDreamer Tatum
Close Encounters of the Third KindMP
1976RockyApollo Creed
The Four DeucesTaxi Cab Driver
1975BucktownHambone
See, Pop?Aliyekuwa mwajiriwa wa pili wa kiwanda cha GlobaKettHakuwa maarufu
Friday FosterYarbro
  1. http://www.filmreference.com/film/72/Carl-Weathers.html
  2. http://www.imdb.com/title/tt0442688/

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl Weathers kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.