George Crabbe
Mandhari
George Crabbe ([1] 24 Desemba 1754 – 3 Februari 1832) alikuwa mshairi na kasisi kutoka Uingereza. Anajulikana zaidi kwa matumizi yake ya awali ya mtindo wa simulizi wa uhalisia (realistic narrative) na kwa maelezo yake kuhusu maisha na watu wa tabaka la kati na la wafanyakazi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu George Crabbe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |