close
Nenda kwa yaliyomo

Harufu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mbwa wawili wakinusana.

Harufu ni hisia inayopokewa na pua kutokana na molekuli ndogo zinazotoka kwenye vitu mbalimbali na kusafiri hewani. Inaweza kuwa harufu nzuri au mbaya.

  • Jarvis, Brooke (28 Januari 2021). "What Can Covid-19 Teach Us About the Mysteries of Smell?". The New York Times. Iliwekwa mnamo 31 Januari 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harufu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.