close
Nenda kwa yaliyomo

Issa Samb

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Issa Samb (alijulikana pia kama Joe Ouakam; alizaliwa 31 Desemba 1945 - alifariki 25 Aprili 2017) alikuwa mchoraji, mchongaji sanamu, msanii wa kuigiza, mwandishi wa tamthilia na mshairi wa Senegal[1].

  1. "Issa Samb is considered a total artist. His practice ranges from acting, for both theatre and cinema, to writing (poetry, essays, novels), installing, performing, painting and sculpting... yet his work is unclassifiable." Curator Koyo Kouoh
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Issa Samb kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.