close
Nenda kwa yaliyomo

Jeff Astle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jeffrey Astle (13 Mei 1942 – 19 Januari 2002) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Uingereza (soka), ambaye alicheza sehemu kubwa ya maisha yake ya soka kama mshambuliaji wa kati akiwa na klabu ya West Bromwich Albion. Alijulikana kwa mashabiki wa klabu hiyo kwa jina la utani “the King”, na alicheza mechi 361 kwa klabu hiyo, akifunga mabao 174. Pia aliichezea timu ya taifa ya England (England ) mara tano bila kufunga bao.

Kazi ya soka

[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa Eastwood, Nottinghamshire,[1]

  1. [(https://www.independent.co.uk/news/obituaries/jeff-astle-9256856.html) "Jeff Astle"]. The Independent. 21 Januari 2002. Iliwekwa mnamo 16 Julai 2021. {{cite news}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jeff Astle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.