close
Nenda kwa yaliyomo

Raluca Turcan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Raluca Turcan (alizaliwa 2 Aprili 1976) ni mwanasiasa wa Romania na mwanachama mwandamizi wa Chama cha Kitaifa cha Kiliberali (PNL). Amekuwa mbunge katika Chamber of Deputies (Romania)|Baraza la Manaibu akiwakilisha mkoa wa Sibiu mfululizo tangu mwaka 2004.


Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Raluca Turcan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.