Avempace
Mandhari
Abū Bakr Muḥammad ibn Yaḥyā ibn aṣ-Ṣā’igh at-Tūjībī ibn Bājja (anajulikana zaidi kama Ibn Bājja au kwa jina lake la Kilatini Avempace [1] Zaragoza, Hispania, 1085 hivi – Fes, Moroko, 1138) alikuwa mwanazuoni Mwarabu[2] ambaye maandishi yake yalijumuisha masomo ya astronomia, fizikia, na muziki, pamoja na falsafa ya Kiislamu ya awali, dawa ya Kiislamu, botania, na ushairi wa Kiarabu.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ["Avempace".
{{cite web}}: Check|url=value (help)](https://encyclopedia2.thefreedictionary.com/Avempace|title=Avempace}}) - ↑ Grant, Edward (1996). [(https://books.google.com/books?id=TSc4AAAAIAAJ&q=Avempace+arab&pg=PA126) Planets, Stars, and Orbs: The Medieval Cosmos, 1200–1687]. CUP Archive. ISBN 9780521565097.
{{cite book}}: Check|url=value (help) - ↑ Jon Mcginnis, Classical Arabic Philosophy: An Anthology of Sources, p. 266, Hackett Publishing Company, ISBN 0-87220-871-0.
| Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Avempace kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |