close
Nenda kwa yaliyomo

Andrew Ng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Andrew Yan-Tak Ng (alizaliwa Aprili 18, 1976) ni mwanasayansi wa kompyuta na mjasiriamali katika teknolojia mwenye uraia wa Uingereza na Marekani akizingatia ujifunzaji wa mashine (machine learning) na akili ya mnemba (AI)[1]. Ng alikuwa mwanzilishi mwenza na mkuu wa Google Brain na alikuwa Mwanasayansi Mkuu wa zamani wa Baidu.[2][3]

  1. "Andrew Ng". Time Magazine. Septemba 7, 2023. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-11-06. Iliwekwa mnamo 2023-11-07.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "CNBC Next List: Daphne Koller and Andrew Ng". CNBC. Oktoba 6, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Mozur, Paul (Machi 22, 2017). "A.I. Expert at Baidu, Andrew Ng, Resigns From Chinese Search Giant". The New York Times. ISSN 0362-4331. Iliwekwa mnamo Aprili 17, 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrew Ng kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.