close
Nenda kwa yaliyomo

Hugo Boumous

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adnan Hugo Boumous (amezaliwa tarehe 24 Julai, 1995) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa anayechukua nafasi ya kiungo mshambuliaji katika klabu ya Selangor F.C. ya Malaysia Super League, akiwa kwa mkopo kutoka klabu ya Odisha FC ya Indian Super League. Anajulikana zaidi kwa uwezo wake wa kupiga pasi na uchezaji wa kiungo mbunifu (playmaking).[1][2]

  1. "BREWING CREATIVITY: RANKING THE TOP PLAYMAKERS OF HERO ISL 2022-23". Indian Super League. 6 Mei 2023. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Septemba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Official: Mumbai City FC rope in Hugo Boumous on two-year deal". Khelnow. 17 Oktoba 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 31 Oktoba 2020. Iliwekwa mnamo 17 Oktoba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hugo Boumous kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.