Len Deighton
Mandhari
Leonard Cyril Deighton (alizaliwa 18 Februari 1929) ni mwandishi wa Uingereza. Machapisho yake yalijumuisha vitabu vya upishi na kazi kuhusu historia, lakini alijulikana zaidi kwa riwaya zake za kijasusi[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Milward-Oliver 1987, p. 98.