Lena
Mandhari
| Mdomo | Bahari ya Laptev |
| Nchi | Urusi |
| Urefu | 4,400 km |
| Mkondo | 16,350 m³/s |
| Eneo la beseni | 2,490,000 km² |
| Miji mikubwa kando lake | Yakutsk |
Lena (Kirusi: Лена) ni mto wa Urusi. Urefu wake ni 4400 km.Iko katika mkoa wa Yakutia na Irkutsk Oblast.
Inaishia kwenye Bahari ya Laptev ambayo ni sehemu ya Bahari Aktiki.