close
Nenda kwa yaliyomo

Marvin Ducksch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marvin Ducksch (alizaliwa 7 Machi 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Ujerumani aliyekuwa akicheza kama mshambuliaji.

Kwa sasa anachezea klabu ya Birmingham City inayoshiriki katika ligi ya EFL Championship, na pia ameichezea timu ya taifa ya Ujerumani mara mbili.[1]

  1. "Borussia Dortmund 4–1 Fortuna Düsseldorf" (kwa Kijerumani). weltfussball.de. 30 Septemba 2011. Iliwekwa mnamo 2 Oktoba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marvin Ducksch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.