close
Nenda kwa yaliyomo

unyanyasaji

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]
  1. kitendo cha kumdhuru au kumtendea mtu vibaya kwa makusudi, kwa maneno, vitendo au nguvu

Mfano

[hariri]
  • Unyanyasaji wa kijinsia ni tatizo kubwa katika jamii..

Tafsiri

[hariri]


Ingizo hili ni fupi linahitaji mtu wa kuliboresha. Unaweza kuisadia Wikamusi kwa kuongezea maarifa zaidi.