close
Nenda kwa yaliyomo

Thomas Christiansen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thomas Christiansen Tarín (alizaliwa 11 Machi, 1973) ni kocha wa mpira wa miguu na mchezaji wa zamani kutoka Hispania aliyekuwa akicheza kama mshambuliaji.

Kwa sasa yeye ni kocha wa timu ya taifa ya Timu ya taifa ya Panama.[1][2][3]

  1. Uno, Steen (4 Julai 1991). "Cruyffs nye stjerneskud Thomas fra Hvidovre" [Cruyff's newest star from Hvidovre]. BT (kwa Kidenmaki).{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Football: Top to Bochum; Dane from Spain Thomas gives new boys dream start". The Free Library. 26 Agosti 2002. Iliwekwa mnamo 31 Julai 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "AEK Larnaca make sixth signing". Parikiaki. 18 Juni 2014. Iliwekwa mnamo 31 Julai 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Christiansen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.