viral
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Kivumishi
[hariri]viral (en)
1. Kitu (video, picha, habari n.k.) kinachopata kusambaa haraka sana kwa watu wengi mtandaoni
2. Kinaweza kushirikishwa (shared) mara nyingi kwa muda mfupi
Mfano
[hariri]- Video ya kuchekesha inaweza kuwa viral kwenye TikTok au YouTube
- Habari fulani inaweza kuwa imeenda viral kwenye mitandao